adc

Advanced Direct Connect is a next-generation peer-to-peer file-sharing protocol. This page compares the features of a number of software implementations of the protocol.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 ADC yajipanga kuwang’oa madarakani CCM, waeleza kuhusu 'No Reform, No Election' ya Chadema

    "Kama Mbwai na Iwe Mbwai." Ndiyo kauli anayoitumia Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) taifa, Shaban Itutu akielezea msimamo wa chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Itutu ametoa kauli hiyo, baada ya Mwenyekiti wa Chama cha...
  2. LGE2024 Mwanza: Mgombea ADC alalamika vipeperushi vyake kubanduliwa na kubandikwa vya CCM

    Mgombea Uenyekiti wa Mtaa wa Nela Kata ya Isamilo jijini Mwanza kwa tiketi ya Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), James Dioniz, amelalamikia kitendo cha vipeperushi vyake kubanduliwa, kisha kubandikwa vya mgombea Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abubakar Seif. Akizungumza na Mwananchi...
  3. K

    Mpango wa kuwawezesha Wanawake kiuchumi, Benki ya Equity Tanzania yasaini Mkataba na Taasisi ya ADC Tanzania

    Katika hatua ya kuashiria kuanza kwa utekelezaji wa mradi maalum wa kuwawezesha Wanawake kiuchumi, Benki ya Equity Tanzania imesaini mkataba na Taasisi ya ADC Tanzania na washauri wabobezi wa biashara, jana Novemba 5, 2024. Lengo kuu la mradi huu ni kuwajengea Wanawake uwezo katika biashara zao...
  4. ADC anapopanda cheo ni lazima aondolewe kwenye upambe na kupangiwa majukumu mengine?

    Habari wakuu, Samahani naomba kuuliza swali. Kwanini ADC (Aide De Camp) wa Rais anapopanda cheo kutoka Kanali kua brigedia ni lazima aondolewe kwenye majukumu hayo ya upambe wa Rais na kupangiwa majukumu mengine?
  5. Rais Samia ampandisha cheo mpambe wake (ADC) sasa ni Brigedia Jenerali

    Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI. Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena...
  6. Shara Amran Khamis achukua fomu kuwania nafasi ya Makamo Mwenyekiti Zanzibar ndani ya Chama cha ADC

    Aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) na kushika nafasi ya pili nyuma ya Mgombea wa CCM katika uchaguzi wa Jimbo la Kwahani Unguja (Zanzibar), Shara Amran Khamis, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Makamo Mwenyekiti Zanzibar kupitia Chama cha ADC...
  7. Doyo Hassani Doyo achukua fomu ya kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha ADC

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Allience for Democratic Change (ADC), Doyo Hassan Doyo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho kumrithi Hamad Rashid ambaye amekiongoza kwa miaka 10 na kumaliza muda wake kwa mujibu wa Katiba. Doyo amechukua fomu hiyo leo Juni 11, 2024 Makao makuu...
  8. Katibu Mkuu ADC Doyo autaka Uenyekiti ADC, asema chama chao hakiwezi kulea mafisadi

    https://www.youtube.com/live/qQ_4w2DCSSY Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha ADC, Doyo Hassani Doyo anatarajia kuchukua fomu ya kugombea Uenyekiti Taifa, Juni 11, 2024. Doyo anakwenda kumrithi Mwenyekiti Taifa, Hamad Rashid aliyemaliza muda wake Kikatiba. Amesema lengo kuu la kugombea nafasi...
  9. ADC wa Rais Samia asijisahau Kiitifaki hawaruhusiwi Kucheka wala Kutabasamu awapo kazini

    Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena akiwa na Sare zake za Kijeshi huwa haruhusiwi Kucheka au Kutabasamu katika Mazingira yoyote yale awapo...
  10. Internship Opportunities at ADC Tanzania Limited April, 2024

    Are you ready to dig deep into the world of agriculture and consulting? Join our internship program and cultivate your skills with us! We’re on the lookout for passionate recent agricultural graduates to join our dynamic team. Whom are we looking for: Bachelor’s degree in Rural Development...
  11. Katibu wa ADC: Kauli ya Paul Makonda inapishana na msimamo wa Rais Samia

    Katibu Mkuu wa ADC Taifa, Doyo Hassan Doyo amesema kauli iliyotolewa na Katibu wa NEC – Itikani na Uenezi wa CCM, Paul Makonda kuwa vyama vya Upinzani Nchini havipo ni sawa na kupinga maelekezo ya Rais Samia Suluhu kuhusu maridhiano ya kisiasa. Doyo ameyasema hayo wakati wa Mkutano wa chama...
  12. Kanali Nyamburi Mashauri, ADC wa Rais Samia anajua kutupia vizuri

    Huyu afande, Kanali Mashauri ambaye ni mpambe wa Rais Samia, ukiacha mavazi ya kijeshi yuko vizuri pia katika mavazi ya kiraia. Juzi niliona wakishuka pale Airport akiwa amevaa kiraia, amevaa suti yake imemkaa vyema sana hakika anaendana sana na Rais Samia. Kongole kwake Afande, unaitendea...
  13. Fahamu kuhusu Mpambe (ADC) wa Rais

    Makala hii iliandikwa 2018 na Mwalimu Abas,nimeona mjadala mzito sana kwenye mitandao kuhusiana na mpambe wa Rais kuonekana amebeba begi kubwa sana wakati Rais Samia akirejea kutoka Scotland.........Twende kazi. ADC/MPAMBE WA RAIS NI NANI? Na Abbas Mwalimu (0719258484). Alhamisi tarehe 4...
  14. Awamu ya 6 ya Rais Samia Suluhu: Ni upi mustakabali wa 'wanasiasa pendwa' wa Hayati Magufuli?

    Kila serikali mpya inapoingia madarakani inakuwa na mtaji wake. Huo ni msemo maarufu wa wataalamu wa sayansi ya siasa na utawala bora kote duniani. Kwamba utawala mpya unapoingia madarakani unapenda kufanya kazi na aina ya viongozi unaowataka iwe kwa kuibua wapya au kuchagua miongoni mwa...
  15. Mjue Kanali Nyamburi Mashauri, ADC wa Rais Samia Suluhu

    Zama mpya na mambo mapya. Samia Suluhu Hassan ndio Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kula kiapo leo, akichukua nafasi ya Hayati John Pombe Magufuli. Baada ya kula kiapo, Rais Samia Suluhu (Double S) tukamuona mpambe mpya nyuma ya Rais Samia, kinyume na ilivyozoeleka na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…