Addicted is the twelfth studio album by Canadian musician Devin Townsend, and the second album in the Devin Townsend Project series. The album was released on November 17, 2009, on Townsend's independent record label HevyDevy Records. The album was written and produced by Townsend, and features Ryan Van Poederooyen, Brian Waddell, Mark Cimino, and Anneke van Giersbergen.
Hello wadau,
Currently nimekua nakula sana kitimoto yaani nakula mpaka mara 4 kwa week sometimes rost sometimes kavu.
Naomben kujua kama Kuna madhara yoyote kiafya
Ni kwanini ccm ina uraibu wa kufanya vimirad vidogo karne hii ya 21.
Vijumba vya hivi vidogo ni vya miaka ya 60.
Ukimtoa magufuli , ccm bado wanaishi mwaka 1960.
Nawaza msinijie juu!!Nikiangalia dunia ilipo na miradi yetu haviendani
Wakuu ni kitu gani ambacho ulikianza kama utani lakini leo hii imegeuka kuwa uraibu kwako yani huwezi kukaa bila kufanya hicho kitu.
Kwangu mimi ni kucheza games(play station). Nakumbuka kipindi naanza form 1 miaka ya 2008 huko kanda ya ziwa ilikua tukienda town weekend tunakutana na video...
Wakuu kiukweli nipo addicted na Cristiano Ronaldo yaani wakuu chochote ambacho Ronaldo anakitangaza nipo tayari kukinunua kwa gharama yoyote ata akitangaza chupi au kondomu nipi tayari kununua aisee nakumbuka nilinunuaga kondomu kwa sababu niliona anaitangaza sijui ndiyo ugonjwa wa akili that...
Habari za majukumu wakuu, mimi ni kijana wa miaka 29. Nina shida moja ambayo nahisi imekuwa kama "addiction."
Nimejipata nikiwa na tabia ya kufuatilia (track) simu za kila mpenzi ninayeingia naye kwenye mahusiano, iwe nina mipango ya baadaye naye au hata kama ni uhusiano wa muda mfupi. Ilimradi...
Aisee humu JF Kuna nini.
Me ndo natumia muda wote Sina hiyo Facebook, Instagram, x n.k.
Muda mwingi Niko hapa kusogoa, kutaniana, kujifunza, kushare mengi
Naipenda JamiiForums mno
Mtu haouko addicted na pombe kazi yako iko vizuri na hakuna lawama Wala malalamiko yoyote kwa unaowahudumia lakini BOSS WAKO anakuambia chagua moja moja kazi au uende rehab?
Nlikua Naomba kufahamu mwajiri akitaka kumpeleka mfanyakazi wake rehab anatakiwa kufuata utaratibu gani?
We all love our phones, don’t we?
But for some of us, it’s more than just love. It’s an addiction.
And like any addiction, it begins to seep into other areas of our lives. In this case, our relationships.
Being addicted to your phone can wreak havoc on your personal life, and trust me, it’s...
Hello jf members.
I spend about 97% percent in internet and when I'm offline I feel like I'm sick , I entirely live in an imagination world rather than in the reality.
I consume a lot of money for buying data . I think I can't control myself from this situation, I need someone to help me.
Wasalaam,
Nimepata mfadhaiko siku za hivi karibuni, mademu za watu wanapigana na kuwaacha wapenzi wao kisa Mimi, na pisi Kali kiasi kwamba ni ngumu kukataa, wanalipa mpaka bill zilizogharimiwa na hao wapenzi wao ili kuondoa utumwa.
Huwa natoa maagizo tu kuwa ukishavuruga utanikuta sehemu...
Addiction Ni kitu ambacho kamwe hakiwezi epukika katika Karne hii ya 21.In one way or the lazima kila mwanadamu especially wanaume atakuwa addicted na mojawapo ya vitu vifuatavyo;
1.Betting & gambling
2.Keyboard warrior( internet)
3.Masterbation( punyeto & kujichua)
4.Sigara/ bangi/shisha...
Leo waziri wa fedha amependekeza kupunguza kodi kwenye pesa anayoshinda mtu aliyebeti kutoka 15% mpaka 10%.
Kwangu naona hii ni kama kuendelea kuharibu vijana maana watahamasika kutokana na kuona wakishinda watakatwa pesa kidogo.
Bora ingeongezwa ili iwavunje moyo watu wanaobet labda...
Kweli hapa duniani kuna maajabu sana wadau
Hivi kweli inawezekana kabisa mtu akawa anapenda kusikia zile sauti za watu wakiwa wanafanya mapenzi?
Yaani jamaa yeye ndio starehe yake, akisikia sauti za mwanamke anapelekewa moto eti yeye ndo anaenjoy kweli??
Tena anasema kabisa zile kelele...
Duuh yani baadhi ya vitu ni ngumu kuamini kuwa kuviacha ni janga la koo na ulimi soda ni moja ya vinywaji pendwa kwa watu ila baadhi ya watu wanashindwa kujitambua kuwa imeadhiri mfumo wao wa akili
Binafsi naona hii kwangu ikitokea nimekua Addicted na kitu cha COCACOLA yani ukinipa hii soda...
1. Huyu nilimpa 2018. Nilimpata akiwa ananyonyesha. Alinipa sababu ya yeye kuachana na baba mtoto ni kwasababu alimuacha tu akaenda kuoa kwengine ila alinishangaza, maana nilimkuta na mtoto wa kunyonyesha.
Nilijiuliza, Sasa aliachwa lini na baba mtoto akaoa lini, HAYANIHUSU MI NACHOHITAJI NI...
Sijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijui, zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini, kula kulala kunanizidishia hamu majukumu yakija nyegezi zitayeyuka, ila sasa naanza kushtuka na kuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.