adelardus kilangi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Kilangi aweza kuwa ndiye AG mbovu kuliko wote waliowahi kuhudumu nchini Tanzania tangu Wakoloni waondoke

    Kuna Malalamiko kwamba uteuzi wake uligubikwa na uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi , inasemekana pia hakuwa na sifa za kuteuliwa kuwa AG baada ya kuokotwa kutoka mahali kusikojulikana , sheria za nchi zinakataza kuokoteza popote AG. Katika uongozi wa Kilangi ndio mahali sheria nyingi za...
  2. Umkilo

    Ufahamu wasifu wa Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi

    Uteuzi: Rais Magufuli amteua Dr. Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG). Masaju ateuliwa kuwa Jaji Mahakama Kuu ======= WAKATI Mwanasheria Mkuu wa Serikali mteule, Dk. Adelardus Kilangi, akitarajiwa kuapishwa leo Ikulu, jijini Dar es Salaam, wasifu wake unaonyesha ni mbobezi...
  3. marcus rojo

    Mwanasheria Dkt. Kilangi atoa ufafanuzi kuhusu mchanga wa madini uliozuiliwa na Rais

    Hili ni andiko la Dr Adelardus Kilangi,mkurugenzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine tawi la Arusha,mwanasheria kitaaluma aliyebobea kwenye sheria za madini,na mwenyekiti wa bodi ya Petrol Tanzania! ............................................ Wandugu, 1. Nitaomba tuvumiliane. Niliombwa...
Back
Top Bottom