adha ya tope

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DOKEZO Tope kituo cha daladala Kawe ni Adha kubwa kwa abiria

    Kituo cha daladala Kawe ni kero kubwa sana kwa watumiaji wa kituo hicho, Kituo hakina ukarabati wowote, iwe masika na kiangazi, hakuna nafuu, ikiwa kiangazi kituo kinapambwa kwa mashimo na mabonde hali inayoathiri magari na abiria pale wanapofika kituoni. Kwa masika kama kipindi hiki ndio balaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…