Jimbo la Louisiana limekuwa la kwanza nchini Marekani kuidhinisha sheria inayoruhusu kuhasiwa (kuwakata korodani) kwa wabakaji wa watoto, walio chini ya umri wa miaka 13 kama adhabu ya jinai.
Sheria hiyo, ambayo ilianza kutekelezwa Agosti 1, inawahusu wahalifu wenye umri wa kuanzia miaka 17...