Wananchi wa kijiji cha Ibindi, Manispaa ya Mpanda, mkoani Katavi, wamependekeza adhabu ya viboko kwa wanawake wanaovaa nguo zinazodhaniwa kuwa hazina stara, wakiunga mkono juhudi za kudumisha maadili katika jamii.
Pendekezo hili lilitolewa wakati wa mkutano wa hadhara uliofanywa na Mkuu wa...