Wote tunakubaliana kuwa ujangili ni mbaya, na ni kosa la jinai; na kwamba sawa kuadhibiwa kisheria!
Na tunazo sheria za Uhifadhi wa Wanyamapori zinazotumika kulinda Wanyamapori Na. 5 ya mwaka 2009 na sheria Na. 383 kama zilivyorekebishwa 2023 zinazotuhusu watu wote; wananchi, na wageni pia...