Afisa Mifugo Mkoa wa Dar es Salaam Odetha Mchunguzi, amethibitisha kukosekana kwa kuku na kueleza kuwa hali hiyo imetokana na kupanda kwa bei ya vyakula vya kuku na zuio la Serikali la uingizaji wa vifaranga kutoka nje.
Uhaba huo kwenye masoko makubwa ya kuku ya Shekilango na Mwananyamala...