Anahitajika, Accountant nafasi moja
SIFA
1. Awe mkazi wa Dar es Salaam,
2. Awe na Diploma/Degree ya uhasibu,
3. Awe amemaliza chuo kati ya 2020-2023
4. Awe anajua ku-fill returns za TRA,WCF, NSSF, BRELA
4. Nafasi hii hii ni kwa Msichana/mwanamke pekee
Naomba tutumie CV yako kwa baruapepe...