Katika video inayosambaa mtandaoni inamuonesha waziri mkuu wa Israel, Netanyahu akiwashutumu waislamu kwa kumshawishi Adolf Hitler kuwauwa na kutaka kutokomeza taifa hilo.
Adolf Hitler aliacha historia isiyosahaulika kwa waisraeli kutokana na mauaji aliyoyafanya dhidi wayahudi, ambayo yalipewa...
Kwamjibu wa taarifa za ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, Madai ya Waisraeli yanaanzia katika misingi ya kidini ambapo katika Biblia (kitabu kitakatifu kwa Wakristo na Wayahudi), kitabu cha kwanza cha nabii Musa kiitwacho Mwanzo sura ya 12 inaonesha jinsi Ibrahim anavyoitwa na mwenyezi Mungu ili...
Kunasimulizi nyingi kuhusu huyu mwamba ambazo hazijawahi andikwa.
Katika simulizi nilihadithiwa na bibi warafiki yangu mwaka juzi tu ikanishangaza kumbe mwamba kweli alikuwa ananguvu za kishetani bibi huyo anasema kipindi,alipo kuwa binti ndo wakati huo Hitler anapambana na ungereza kwenye...
Adolf Hitler (Braunau, Austria, 20 Aprili 1889; Berlin, Ujerumani, 30 Aprili 1945) alikuwa dikteta wa Ujerumani kuanzia mwaka 1933 hadi kifo chake.
Adolf Hitler akiwa mtoto mchanga
Alizaliwa nchini Austria mwaka 1889, akaingia shule ya sekondari mwaka 1900 lakini hakufaulu, hivyo alishindwa...
Top Image: Adolf Hitler (fourth from right) at his trial in Munich following the Beer Hall Putsch, 1924. Image courtesy of Bundesarchiv Bild, 102-00344.
Historians should not fear accusations of exaggeration when designating December 1941 as not only one of the most decisive months of World War...
Dunia imekuwa ikitawaliwa na viongozi wengi walio makatili na wanyama sana mfano.ukiachana na Hitler(1889-1945) kuna
1. Joseph Stalin(1878-1953)
2. Pol Pot (1925-1998)
3. Saddam Hussein (1937-2006)
4. Iddi Amin (1952-2003)
Nachohitaji kufahamu zaidi kutoka kwenu ni kwanini Hitler anatajwa zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.