adsense

  1. Baada ya muda leo nimeanza kurusha matangazo ya adsense

    Wakuu hii ni mara ya kwanza kukubaliwa na adsense ishu nataka wale wenye uzoefu waniambie malipo yanapokelewa vipi huku tz Naomba mnijuze
  2. Adnetwork nyingine nje ya adsense?

    Habarini, Adsense haisupport swahili content hivyo nilikua nauliza hivi ni adnetwork gani nyingine inayolipa vizuri kwa traffic ya bongo, ukiachana na adsense, maana nimetest mengi mengi tu ila naona kama wananipiga tu, page views kibao hela haionekani.
  3. Natafuta Kununua Blog yenye Adsense

    Habari wakuu. Nahitaji mtu mwenye blog yenye Adsense iwe kwenye wordpress ya kununua. Nahitaji kwa Ajili ya kuendeshea blog. Napatikana 0692 76 33 06 Shukrani
  4. SOFTWARE Natafuta Kununua Adsense Account yenye Site

    Habari wakuu. Nahitaji mtu mwenye blog yenye Adsense iwe kwenye wordpress ya kununua. Nahitaji kwa Ajili ya kuendeshea blog. Napatikana 0692 76 33 06
  5. Niuzie Blogger Site Na AdSense Yake

    Wadau wa ADSENSE nahitaji blog na ADSENSE yake kwa anayeuza
  6. Blogger ni taka taka kwa WordPress

    Naombeni ushuhuda kwa wafanyakazi wa ADSENSE waliotumia hizi platform mbili WORDPRESS & BLOGGER ipi ukitumia Ina support kupata mpunga mwingi kwenye kudisplay matangazo ya adsense tu. Habari za wakati wote waungwana , natumai wote wazima.
  7. Msaada wa Blog niche ambazo ni rahisi kurank 1 position google search

    Mambo vipi wakali wa hizi kazi za SEO. Rejea title hapo juu nimekuwa nikitengeneza makala nyingi kwenye niche mbali mbali lakini imekuwa kipengele kurank #1 position pale google Yaani narank position ya 15 huko. Wadau hivi ni niche zipi ambazo hazina competition kubwa kwamba hata sisi blogger...
  8. U

    Hivi ni kweli naweza kuingiza hela kupitia blog bila kutumia Google Adsense?

    Ni kweli kuwa unaweza kuingiza fedha au kujiingizia kipato bila kuwa na Google Adsense.Narudia tena ni ukweli. Baada ya kumaliza masomo ya advance nilizindua kitabu changu cha pili kiitwacho OPEN THE DOORS OF SUCCESS IN YOUR ACADEMICS. Lakini ndoto zangu zilikuwa ni kuwa mwandishi mkubwa wa...
  9. ADSENSE VS ADSTERRA......

    Wadau Wa Blogger...Tufunguke Tumwagike hapa..Kati ya Adsense na Adsterra wapi kuzuri kwenye Kuvuna Mkwanja.
  10. D

    Msaada wa kusolve tatizo la youtube adsense

    Naomba msaada wa mtu anayeweza kusolve ilo tatizo kila nikijiunga inakataa wanajibu hivyo kama nilivyotuma. Asanteni
  11. Youtube Adsense inahitajika

    Habari wakuu, ninatafuta Youtube adsense,mwenye nayo tuwasiliane PM
  12. Kuna utajiri mkubwa wa kusaka dola za Adsense online lakini sasa...

    Katika ulimwengu huu wa sasa teknolojia imekua kubwa, baadhi ya vijana wamejiajiri katika blogging, youtube, n.k. kwa hapa kwetu wapo a aina mbili Aina ya kwanza - kwa upande wa bloggers wengi bado wapo google adsense lakini wengi wao wanacheza wanapokea laki 2 jadi laki 8 kwa mwezi, hali hii...
  13. X

    Google adsense, search engine optimization and seo trick for beginner in Tanzania

    Wadau nimeona mada nyingi zilianzishwa kwenye jukwaa hili zikihusisha google adsense ila wadau walioanzisha mada hizo hawakuongelea kwa upana kuhusu google adsense pamoja na dependencies zake: kwenye uzi huu naomba mdau kama una shauku ya kuijua vizuri google adsense basi kaa mkao wa kula...
  14. Nahitaji Website/Blog yenye matangazo ya Adsense yakifanya kazi

    Wakuu nahitaji website au blog yenye matangazo ya Google Adsense yakiwa hayana shida yeyote, kwa aliyenayo naomba tuwasiliane Njoo WhatsApp http://wa.link/c951p8
  15. B

    Jinsi ya kuthibitisha PIN Google Adsense

    Habari zenu Sina hakika kama hili ni jukwaa sahihi kwa hii mada, lakini Naomba kuiwasilisha humu kwa mwenye kufahamu basi anifahamishe. Nimekuwa nikijihusisha na Blogging kwa miaka 4 sasa na nimepata uzoefu mkubwa sana kuanzia kwenye kutengeneza blog, kuendesha blog na ku-brand. Kufikia mwezi...
  16. Msaada adsense on youtube

    Jamani naombani msaada hivi nikitaka kuconnect AdSense to YouTube channel nitalazimika niwe na website au hata nikitumia blog yenye Blogspot nayo itakaa poa.
  17. Flesh adsense account for sale

    Location: Dar es salaam/Tanga Contact: 0625972007 Price: TZS 230,000 NOTE: Hii huuzwa na domain yake kabisa
  18. Waliopata mafanikio na Adsense, tunaomba ushuhuda na ushauri wenu

    Wakuu kwema? Poleni na mihangaiko ya maisha pamoja na Ups and Down za January. Mada ya uzi wangu ni kama kichwa kinavyojieleza juu. Kwa wafuatiliaji wazuri wa JF na mitandao mingine duniani kwenye habari za Technology kumekuwepo na wimbi kubwa la watu wakisema wanatengeneza pesa nzuri kwa Ads...
  19. Wakuu msaada account yangu ya adsense imepigwa limit

    Habari wanajF, Mkuu nimepigwa ad limit kwenye AdSense account yangu yenye Website ambayo ipo hosted na blogger msaada wenu tafadhali namna ya kufix hii ishu ya matangazo. Nahitaji matangazo yaendelee kudisplay. Asante
  20. K

    INAUZWA Nauza Adsense

    Nauza Adsense pamoja na website yake ina $17 nicheki whatsapp +255765505717 bei tunaelewana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…