Sio siri kuwa JWTZ inafanya kazi inayotukuka kweli kweli. Maadui wa nje hawafanyi chokochoko tena katika mipaka yetu.
Lakini sasa kuna adui wa ndani ya nchi anateka watu, anawatesa na kuwaua apendavyo. Kuna faida gani mlinzi yuko getini tuu kuzuia azure wa nje wasiingie lakini kama yuko aliyeko...