Wazazi wamestuka, Vijana wametuka, zama zimebadilika,
Kwa upepo ulivyo Advance inaenda kupoteza thamani yake, yaweza kugeuka kuwa kapu la taka kwa wanafunzi wanaokosa vyuo.
watu wamepima mzani wa kwenda advance na kwenda chuoni kwa mazingira ya Tanzania ya sasa wamena kwenda advance kuna...
Habari wakuu
Mimi ni muajiliwa nipo mkoa wa dar es salaam naitaji kusoma advance mwaka mmoja
Naomba mnisaidie kwa lolote mawazo yenu, mbinu , na wapi sehemu gani niende niweze kutimiza lengo langu hilo.
Nitawashukuru sana kwa msaada wenu
Wakuu Kwa jinsi nilivyokua baada ya form four na vile nilivyokua baada ya form six ni tofauti mno. Na vile nilivyowakuta diploma wakutoka form four wanavyokariri.
Mimi naomba ni washauri kama unataka kufanya makubwa nenda advance ila kama unataka elimu ya tia maji Ili uajiliwe nenda tia maji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.