Habari ndg zangu, kuna kijana mmoja alikuwa anaishi na mama yake Jijini Dar salaam,baba yake alifariki muda mrefu,mwaka jana kabla ya kufanya mitihani ya kidato cha nne mama yake nae alifariki, kijana huyo Mungu amemsaidia amefaulu na amepangiwa Temeke sekondari, kwa bahati mbaya shule ile ni ya...