Wakuu,
Wakili Paul Emmanuel Kilasa Kisabo amekata rufaa katika Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dodoma, dhidi ya Uamuzi wa Hakimu Nyambuli Tungaraja wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma ulioifuta kesi dhidi ya Afande Fatuma.
Pia soma: Kesi ya Afande sakata la binti wa Yombo yafutwa...
Kesi ya kuratibu genge la ubakaji kwa kundi na ulawiti inayomkabili Fatma Kigondo maarufu Kama 'Afande', imechukua sura mpya baada ya upande wa waleta maombi kumtaka hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Nyambuli Tungaraja kusaini hati ya mashtaka ili mtuhumiwa aweze kusomewa kesi yake popote alipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.