Kwenye kongamano la TLS umeonyesha kuwa Jeshi la polisi na askari polisi wana upeo, wamekwenda shule na wana weledi wa mambo. Umeweza kukabili hadhira ambayo ina uadui na taasisi yako na bado ume deliver. Upelelezi ni sayansi na hauwezi kuendeshwa kwa ushabiki maandazi.
Hongera tena.
Wakuu,
Mnakumbuka ile clip ya Sativa baada ya kupatikana kule Katavi na akiwa amezungukwa na wananchi ambao ndio walijitolea kumpeleka hospitali na kuhakikisha anakutana tena na familia yake?
Kama utakuwa hujaona hiyo clip, nimeiweka hapo chini.
Ni clip inayomuonesha Sativa akiwa amezingirwa...
Siku moja baada ya Jeshi la Polisi kuzima maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yaliyopangwa kufanyika jijini Dar es Salaam Septemba 23, 2024, baadhi ya askari wameonekana wakizingira ofisi ya makao makuu ya chama hicho Mikocheni.
Mwandishi wa Mwananchi aliyefika katika...
Akiulizwa swali na Mwandishi wa habari kuhusu kuwepo na wimbi kubwa la askari walioshikilia silaha za moto mitaani tofauti na ilivyozoeleka, Kamanda wa Kanda ya Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kuwa wananchi hawana hofu wanaendelea na majukumu yao kama kawaida.
Amesema kuwa Watu...
Kuna kipindi kinachofanywa na Crown FM cha Salim Kikeke cha mahojiano ambacho kikishafanyika huwekwa YouTube kwa kumbukumbu.
Inavyosemekana mahojiano ya Kikeke na Afande Muliro wamechimbwa biti wasirushe kupitia YouTube wala kokote.
Je ni kweli, na kama ni kweli nini sababu?
Uhuru wa vyombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.