afande sele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Afande Sele: Ushindi wa Mbowe ndio utakuwa mwisho wa CHADEMA

    Wakuu, Uchaguzi wa CHADEMA nafasi ya Uenyekiti umezidi kupamba moto. Haya ni maneno ya Afande Sele ambaye ni mfuatiliaji mkubwa wa siasa za Bongo. Mbowe ajitafakari. Hiki ndicho alichoandika Afande Sele kupitia ukurasa wake wa Instagram: Baraza lote la vijana limeshikiliwa na watu...
  2. AFANDE SELE FT. BWANA SAM - MTU NA PESA.

    AFANDE SELE FT BWANA SAM - MTU NA PESA Verse ..1 ( afande sele) Mtu na pesa hakuna mwanadamu asie jua maana ya pesa/ hata mwanangu Tunda hi leo ana ijua pesa/ tangu ana miezi tisa (9)/ maana kila kukicha anacheki inavyonitesa/ baba ake nateseka / mchana kutwa mbilika na usiku ni batashika/...
  3. AFANDE SELE FT 20% - MBELE YAKO NYUMA YANGU.

    AFANDE SELE FT 20% MBELE YAKO NYUMA YANGU.. Intro. Yah..hahahaha mj Record sio Afande sele, asilimia na Marco chali Hahahaha chorus.. 20% . Mbele yako / Mbele yako/ Nyuma yangu/ Nyuma yangu mie/ Usinichukie Weee..!!/ Ndugu yangu/ Uuuh.. Mbele yako / Mbele yako/ Nyuma yangu/ Nyuma yangu...
  4. Afande Sele FT Mr. Nice - Mimi na wewe basi

    AFANDE SELE FT MR. NICE ( MIMI NA WEWE BASI) CHORUS ( MR NICE) Ahadi yangu mimi na wewe ilikuwa ni kuishi wawili/ ( afande sele) - "Aah" Kwakuwa umebadilika mimi na wewe Basi /... ( Afande sele) - "Basi" ×2 Nakupenda sana na bado Roho yaniuma/ eeeh Kwakuwa umebadilika mimi na wewe Basi/ ("...
  5. TBT: Kuna nyimbo kwa Makundi 3 (Prof. Jay, Afande Sele & Juma Nature), (Alikiba, Matonya & MB Dog) na (Joslin, Noorah & Mr. Blue) utasikiliza zipi?

    Ikiwa ungetakiwa kuchagua ngoma za kundi moja la kusikiliza nyimbo zao kati ya haya matatu: Prof. Jay, Afande Sele & Juma Nature Alikiba, Matonya & MB Dog Joslin, Noorah & Mr. Blue Ungechagua kundi lipi na kwa nini? Je, muziki wao umeacha alama gani kwako au kwenye tasnia ya muziki wa Bongo...
  6. Karata Dume - Afande Sele & Mez B from area c

    K ARATA DUME - AFANDE SELE Alichoimba kwenye Karata Dume kilitimia !! Baada ya mtoto wa afande sele mwana Dada " Tunda" kubukua mitihani kidato cha 6 mwaka 2019, Afande Sele msanii mkongwe wa Bongofleva alichinja beberu na kusherehekea Tukio la mwanae Tunda kuchaguliwa kusoma chuo kikuu...
  7. Watu Pori - Nafsi ya Mtu (MC Koba & Chorus)

    WATU PORI - NAFSI YA MTU. Watu pori a.k.a washamba a.k.a washamba a.k.a washamba /nyani wapya msitu wa zamani beat mjerumani mambo yote kwa Bonnie/ Sikiliza haya ninayo kueleza leo na kesho usije kuyapuuza / kwenye mizizi ya Dhambi wivu ndio Unaongoza / kwa upande wa Mema upendo ndio wa...
  8. Karata Dume - Afande Sele

    KARATA DUME - AFANDE SELE Alichoimba kwenye Karata Dume kilitimia !! Baada ya mtoto wa afande sele mwana Dada " Tunda" kubukua mitihani kidato cha 6 mwaka 2019, Afande Sele msanii mkongwe wa Bongofleva alichinja beberu na kusherehekea Tukio la mwanae Tunda kuchaguliwa kusoma chuo kikuu...
  9. Afande sele a.K.A Simba Mzee mwenye meno makali, mkali wa mashairi kutoka mji kasoro bahari..

    UKWELI HIPHOP IMEKUFA? Najiuliza NA kujipa majibu mepesi japo swali ni gumu sana! MONI CENTROZONE Anasema "HIPHOP is DEAD" lakini sijaona vijana wa new school kama wanamjibu au tuseme wako bize na Amapiano? Swali jingine "Je ni kweli hayupo mfalme wa rhymes mwingine mpaka leo zaidi ya...
  10. Afande Sele na O-Ten walikuwa na story moja?

    KWENYE "MKUU WA MKOA" O TEN anasikika akisema; " Nakaa na mama wa kambo, sikufahamu CHOCHOTE Kumbe si mama mzazi, sikutambua LOLOTE ETI MAMA'NGU ALINITOSA, MOLA AKANIONGOZA..." "TOKA NINA MWAKA MMOJA NILITOSWA NA MAMA" Kwenye"MIMI" O TEN anasikika kwa mara nyingine akisema "KAMA NI KUFA...
  11. Pre GE2025 Afande Sele awachana CHADEMA

    Sikiliza Afande Sele alivyowashukia CHADEMA hapa; "Nyie wapumbavu lazima muongeleswe kipumbavu, machadema nyie ni mapumbavu kabisa kabisa bora vyama vingine vijipange vitaitwa upinzani sio nyinyi wapumbavu. Nyinyi wapumbavu ndio tulikuwa tunaongea pamoja tukiwa CHADEMA, tunajenga CHADEMA mimi...
  12. Hivi unakumbuka kwanini P Funk aliwahi mchapa vibao Afande Sele?

    VISA na MIKASA SIKU P FUNK alipomchapa Makofi AFANDE SELE… Turudi nyuma kidogo, Miaka zaidi ya 18 iliyopita na Ilikuwa ni kipindi kifupi tangu P funk aanze kufanya kazi na Afande. P anasema miezi kama miwili nyuma ya siku hiyo ya tukio alikuwa na Sele, alimpatia wimbo mmoja na sele akaahidi...
  13. Album ya Mkuki Moyoni ya Afande Sele

    AFANDE WA MOROGORO MFALME WA TANZANIA. Toka mwaka 2002 mpaka sasa 2022 ni miaka 20 imepita toka album ya "mkuki moyoni" toka kwa Afande Sele izame sokoni. Mwaka 2004 hii album kwa uzito wa nyimo zake ilitosha kabisa kumtangaza mfalme wa rhymes ni Afande Sele. Mkuki moyoni ni miongoni mwa...
  14. Sheikh Kipozeo amshukia Afande Sele kuhusu kifo cha Magufuli

    Sheikh Kipozeo amshukia Afande Sele kuhusu kifo cha Magufuli. Sitii langu hapa kwa sasa, jionee mwenyewe: Chanzo: https://youtu.be/_rImiIvDHnI?si=jVvGaHv0PVX-7CeH
  15. Songa na Afande Sele

    Kwenye LET IT BE, Kuna line SONGA anachana anasema ''Sele atabaki afande mfalme Hashimu Dogo'' Kweli Hashim Dogo unaweza kumuweka mzani mmoja na AFANDE SELE? Au SONGA Alimaanisha nini???
  16. Afande Sele tushike lipi sasa mbona unatuchanganya?

  17. Nini kilikua chanzo cha ugomvi wa Afande Sele na O Ten?

    Kipindi bifu limeiva Oten alimuimba Sele Kwenye wembo wa Mimi, Oten anaimba kwamba! Nilizaliwa Morogoro, hata siku nikifa maiti yangu iende Mor. Naweka wazi adui yangu asinizike, hata muhuni yoyote asiyenipenda asisogee. Kama vipi itupeni maiti yangu porini wale tai, muone mimi sifai. Kama...
  18. SIMULIZI: Safari ya maisha na mikasa mizito ya Msanii Afande Sele

    Sikumfahamu, nilimuona ni mwanamke tu amekaa sebuleni, nilimsalimia na kuendelea na shughuli zangu naye aliniangalia bila kusema chochote, hivyo ndivyo nilivyokutana na mama yangu mzazi kwa mara ya kwanza,” anaanza kusimulia Afande Sele katika mahojiano maalumu na gazeti hili akiwa nyumbani...
  19. L

    Afande Sele hafahamu kuwa miradi iliyotekelezwa na Rais Samia kipindi hiki ni mingi kuliko wakati mwingine wowote?

    Ndugu zangu Afande sele kawashangaza Sana mamilioni ya watanzania ambao wanaendelea kuhoji kuwa Ina maana Afande sele hajaona ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani alivyojenga na kuboresha secta ya Elimu hapa nchini? Watanzania wanahoji kuwa Afande sele amesahau Mara hii namna watanzania...
  20. Afande Sele: Magufuli alikopa na kufanya makubwa, sasa hivi wanakopa na hakuna linaloonekana

    "Unajua kwenye each one teach one hatupingi mikopo, lakini tunapinga aina ya mikopo na kile ambacho kinatumika kupitia hiyo mikopo. Yaani, hiyo mikopo ina impact gani kwa wananchi inayoeleweka. Ni kama vile wewe umeenda kwa bwasheee kukopa unga au mafuta kwa sababu watoto wako wale" "Sasa wewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…