afariki kwa kupigwa risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Golikipa afariki kwa kupigwa risasi akiamulia ugomvi wa mama yake

    Tukio la kusikitisha lililotokea Desemba 25 mwaka huu siku ya sherehe za Krismasi, linamuhusisha mwanasoka mdogo mwenye umri wa miaka 14, Geral Froste kupigwa risasi na kufariki. Imeripotiwa kwamba, risasi iliyokatisha ndoto za Geral Froste, ambaye alikuwa golikipa wa timu ya Montevideo City...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…