Richard Donner, mtengenezaji gwiji wa filamu na ambaye aliongoza filamu maarufu za "Superman", "The Goonies," na nyingine zilizotamba, amefariki dunia jana Jumatatu akiwa na miaka 91, vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti.
Kazi nyingine za Donner ni pamoja na filamu ya kutisha ya mwaka 1976...