Miezi miwili baada ya kumalizika kwa Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) Nchini Cameroon, mabasi 89 kati ya 90 yaliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kusafirisha timu hayajulikani yalipo.
Basi pekee ambalo limesalia ni lile lililokuwa likitumiwa na timu ya taifa ya Cameroon katika michuano...
Ni ka nchi kadogo tena masikini zaidi yetu. Inakuaje kanafuzu na kufikia kupambana na miamba ya afrika magharibi akina Sadio Mane na kutoana nao jasho kweli kweli.
Shida kwetu ni nini? Nahisi kuna pahala kama nchi lazima kuketi chini na kuumiza vichwa kutafuta mchawi ni nini?
Nchi yetu ni...
Bonjour wakuu,
Michuano ya TotalEnergies African Cup of Nations 2021, inategemewa kuanza leo Jumapili 09, Januari 2022.
Michuano hii ilitakiwa ifanyike mwaka jana 2021 ila ilihairishwa kutokana na gonjwa la UVIKO-19 Ila sio wale waliopo bungeni 😂 unaosababishwa na virusi vya Corona. Hivyo CAF...
Droo ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika AFCON 2021 imepangwa jana, huku vigogo na mabingwa watetezi Algeria wamepangwa kundi moja na bingwa wa zamani, Ivory Coast.
Katika sherehe za upangaji wa makundi hayo iliyofanyika jijini Yaounde, Cameroon timu hizo ziko kundi moja la E pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.