Droo ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika AFCON 2021 imepangwa jana, huku vigogo na mabingwa watetezi Algeria wamepangwa kundi moja na bingwa wa zamani, Ivory Coast.
Katika sherehe za upangaji wa makundi hayo iliyofanyika jijini Yaounde, Cameroon timu hizo ziko kundi moja la E pamoja na...