afcon 2023

The 2023 Africa Cup of Nations, known for short as the 2023 AFCON or CAN 2023 and for sponsorship purposes as the TotalEnergies Africa Cup of Nations, is scheduled to be the 34th edition of the biennial African association football tournament organized by Confederation of African Football. It will be hosted by Ivory Coast for the second time, having first hosted it in 1984.
This edition of the tournament was supposed to be the third time taking place in the Northern Hemisphere summer since the 2019 edition to reduce scheduling conflicts with European club teams and competitions. On 3 July 2022, CAF postponed this edition to 13 January – 11 February 2024 due to the adverse summer weather concerns in Ivory Coast.Senegal are the defending champions.

View More On Wikipedia.org
  1. AFCON 2023 imefana sana kwa sababu ya maamuzi ya haki ya waamuzi waliochezesha mechi zake

    Watu wengi wamesifia AFCON ya 2023 kwa ushindani ulioonyeshwa na timu nyingi na matokeo yasiyotabirika yaliyofanya mashindano kuwa ya ushindani zaidi. Pamoja na sababu nyingine kadhaa ikiwemo ongezeko la wachezaji wenye viwango vikubwa kwa timu nyingi, kama kuna jambo moja ambalo limekuwa...
  2. Wachezaji wa South Africa wamekataa posho zote za AFCON 2023

    Bingwa wa mashindano ya AFCON 2023 anachukua zawadi nono ambayo haijawahi kufikiwa ya dola milioni 7, sawa na shilingi bilioni 17 na milioni 500. Kabla mashindano ya AFCON 2023 hayajaanza, wachezaji wa South Africa "Bafana Bafana" waliingia makubaliano maalumu na Chama cha Soka cha Afrika...
  3. Hii hapa ratiba ya Hatua ya 16 Bora ya AFCON 2023 Nchini Ivory Coast

    Baada ya Tanzania kushika nafasi ya mwisho katika Kundi F na kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataofa ya Afrika (AFCON2023), ratiba ya Hatua ya 16 imejulikana. Timu ambazo zimeingia hatua hiyo kupitia nafasi ya Mshindi wa Tatu Bora ni Guinea, Namibia, Mauritania na wenyeji Ivory Coast...
  4. S

    AFCON 2023: Non-league duo Haji Mnoga and Ben Starkie hoping to make history with Tanzania

    https://www.skysports.com/amp/football/news/11095/13028884/afcon-2023-non-league-duo-haji-mnoga-and-ben-starkie-hoping-to-make-history-with-tanzania
  5. Pacome na goal of the week, kule jezi ya Yanga kwenye wimbo wa AFCON 2023

    Sasa ni rasmi goli la Pacome Zouzoua dhidi ya Al Ahly limechaguliwa kuwa goli bora la Juma (week) la Total Energies CAF Champions League. Sasa nimeelewa kwanini jezi ya Yanga imetumika kwenye video ya wimbo rasmi wa AFCON 2023 badala ya jezi za Taifa Stars. Yanga imekuwa maarufu Sana viunga...
  6. Yanayosemwa huko Algeria kuhusu tuhuma za kufix mechi ya Tanzania vs Algeria

    Mengi yanasemwa kuhusu matokeo ya mechi ya Tanzania vs Algeria iliyoisha kwa suluhu na kuipeleka Tanzania AFCON 2023 huku Uganda ikikosa nafasi hiyo. Nimechukua kama lisaa kufuatilia nini kinasemwa huko nje na nakileta kwenu muone jinsi wanavyotuchafua na kutuona kama hatukuwa na uwezo wa...
  7. Taifa Stars yatua salama yapokelewa kwa shangwe na mashabiki

    Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) imetua salama alfajiri ya Septemba 9, 2023 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea nchini Algeria kwenye mchezo wa wa kufuzu mashindano ya AFCON 2023 yatakayochezwa mapema mwakani 2024 nchini Ivory Coast. Katika mchezo huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…