Siku hizi kumekuwa na kasumba kwa baadhi ya maafisa biashara wa Halmashauri kwenda kwenye nyumba za kulaza wageni wakisema ni ukaguzi wa mchana. Hivi ikitokea mteja kaacha hata begi akatoka akiwa bado hajajiandikisha unatakiwa ulipe faini.
Hiyo faini sasa unaweza kuta ni zaidi ya 250% ya malipo...
Anonymous
Thread
afisabiasharahalmashauri
faini guest house
faini nyumba za kulala wageni
kusajili wageni guest house