Natumai mu wazima,
kuna kipindi niliuliza watu mkakejeli, wengine mkafika mbali mkasema mimi kilaza, haya bana namshtakia Mungu (hapo natamka kwa sauti ya roma mkatoliki "Nipeni maua yangu").
Ni liuliza, naomba kujua AFISA KAZI ni nani, wanajishughulisha na nini hasa na ofisi zao zipo wapi?
Habari zenu, Ujumbe au Maoni haya naomba yafike katika wizara husika ambayo ni WIZARA YA KAZI, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU, TANZANI.
Katika kila ofisi ya Wilaya na Mikoa yetu ya Tanzania, Wizara yetu imejaribu kueka maofisa wa Idara ya Kazi kwa lengo la kuratibu na kufuatilia utendaji pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.