afisa magereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Aliyekuwa ofisa wa Magereza na wenzake wafikishwa Mahakamani kwa makosa ya kughushi msamaha wa Rais

    Aliyekuwa ofisa wa Magereza, Josephat Mkama na wenzake wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na makosa manne likiwamo la kughushi msamaha wa Rais kwa wafungwa. Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Sibuti Nyabuya na Joseph Mpangala. Kesi hiyo...
  2. Dr wa Kaliua

    Hivi kuna Tofauti gani kati ya afisa magereza na mfungwa wa magereza?

    Hili ni swali ambalo najiuliza sana kwa hawa askari magereza tofauti yao na waasi wauwaji, wabakaji na wahujumu uchumi. Walioko jera ni ipi!! Ila askari magereza wanalinda watu mpaka wanapostaafu na wengine wa makosa ya miaka 10nk huwaacha maasikari magereza wakiendelea na kifungo huru. Shamba...
Back
Top Bottom