afisa mtendaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia akutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania, Ikulu - Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania, Bi. Ruth Zaipuna Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na...
  2. LGE2024 CHADEMA Uyui Wanyimwa Fomu za Wagombea na Afisa Mtendaji

    Wana jamvi, kazi yangu ni kuzunguka tuu na kuwaletea yanayojiri, jioni hii nikiendelea na harakati zangu za utafutaji, nimekutana na wazee wa CHADEMA eneo la Ndala lililopo Wilayani Uyui Tabora. Wazee wa CHADEMA wanadai kwamba wameenda kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali...
  3. Dar: Afisa Mtendaji aliyeomba rushwa ya Milioni 1, ahukumiwa kulipa faini ya Tsh. 500,000

    AFISA MTENDAJI - PUGU KINYAMWEZI AHUKUMIWA KWA RUSHWA Mnamo tarehe 30/08/2024 imetolewa hukumu ya kesi ya Jinai namba 96/2023 mbele ya Mheshimiwa Hakimu Mkazi Mwandamizi Bittony Mwakisu.* Shauri hili liliendeshwa na mawakili wa Serikali Waandamizi Veronica Chimwanda na Fatuma Waziri ambapo...
  4. Waziri Ridhiwani Kikwete afanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran aliyeongozana na Meneja wa Kanda ya Kati wa ATE, Bw. Leonard Mapha...
  5. Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu: DAWASA bado kuna madeni yaliyofikia takribani bilioni 40

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Mkama Bwire ameeleza hali ya madeni na kukiri kuwa bado kuna madeni yaliyofikia takribani bilioni 40. Madeni hayo yamegawanyika katika maeneo matatu: Taasisi mbalimbali: Deni lipo Takribani bilioni 22. Wateja walioondolewa huduma: Madeni haya ni...
  6. Mtu aliyesoma Shahada ya Ualimu, anaweza kuomba nafasi ya Afisa Mtendaji?

    Hivi Kuna uwezekano, mtu alie soma shahada ya ualimu, akaomba nafasi ya afisa mtendaji na akapata kazi hiyo kupitia ajira portal au mfumo wowote wa serikali?
  7. Peter Situmbeko ateuliwa kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam

    Bodi ya Wakurugenzi ya Soko la Hisa la Dar es Salaam limepitisha uteuzi wa Peter Situmbeko Nalitolela kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam. Uteuzi wa Bw. Peter Situmbeko Nalitolela kama Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam PLC Hii ni kuwajulisha umma...
  8. HONGERA SANA AFISA MTENDAJI WA MTAA WA NYERERE HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA

    Sasa unaingia mkoa wa Mara!Utakutana na maandishi yakiwa kwenye hiki kibao mara tu unapoiacha Simiyu na kuingia mkoa wa Mara.Jina la mkoa halijulikani sana ukilinganisha na jina la makao makuu ya mkoa,Musoma.Ndio maana wengi wanajua jina la mkoa ni Musoma!Huu ni mkoa ambao mfumo dume ni mahali...
  9. T

    Makonda ampandisha cheo Afisa Mtendaji kuwa msaidizi wa Mkuu wa Mkoa kwa kufuatilia vizuri matatizo ya wananchi

    Habari wakuu, RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake Afisa kala shavu ofisi ya mkuu wa mkoa, na kesho ana ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa. Swali langu atafanya kazi kama nani pale na...
  10. Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025

    Kama wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano mbalimbali kama Ligi kuu ya NBCPL na Klabu Bingwa Afrika, tuambie mambo 3 ungeyafanya ili Simba wafike malengo yao katika msimu husika
  11. Mbeya: Afisa Mtendaji kizimbani kwa kuomba na kupokea rushwa ya TZS 200,000

    Afisa Mtendaji Kata ya Lusungo, Bw. Edestus Clemence Ndunguru, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya kwa shtaka la kuomba na kupokea Rushwa ya TZS 200,000/= ili amsaidie mwananchi kuongea na askari polisi waweze kumpa dhamana katika Kituo cha Polisi Ipinda. Akisoma shtaka...
  12. UTEUZI: Rais Samia Amteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB). Bw. Mihayo ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Afrika Tanzania. Uteuzi huu umeanza tarehe 19 Novemba, 2023
  13. Afisa Mtendaji Mkuu wa Manchester United, Richard Arnold anaachia nafasi yake

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Manchester United, Richard Arnold amejiuzulu nafasi hiyo na kuhitimisha miaka 16 ya Utumishi wake klabuni hapo. Arnold alichukua nafasi hiyo kutoka Ed Woodward mnamo Februari 2022. Kuondoka kwa Arnold kunaashiria ujio wa Mmiliki mwenza mpya wa Mashetani hao Wekundu, Sir...
  14. B

    Dereva wa UDOM akamatwa kwa madai ya kummwagia Kemikali Afisa Mtendaji

    Dereva wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Lusajo Makiwelu, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuwamwagia kemikali watu wawili akiwemo mtalaka wake, Witness Nguvalwa (31) na mtoto wake mwenye umri wa miezi sita (jina limehifadhiwa). Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno, amethibitisha...
  15. Afisa Mtendaji afungwa kifungo cha nje na kutakiwa kurejesha Tsh. Milioni 2 alizoiba

    Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Mbozi, mkoani Songwe ikihusisha kesi ya Jinai No. 38/2023 dhidi ya Nassim Mbazu ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Ipapa, Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi. Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Mshtakiwa alikutwa na kosa la Wizi huku akiwa Mtumishi...
  16. M

    Nipeni ushauri nisome kozi gani Certificate niweze kuwa Afisa Mtendaji wa Kata

    Mm ni mwanafunzi wa chuo X kada ya ualimu mwaka wa pili (degree) lakini pia nazitamani sana hizi kazi za uafisa utendaji wa kata ikitokea ajira katika ualimu ikiwa ni changamoto kupata. Sasa nataka kujiendeleza kielimu nikiwa hapahapa chuo kuna kozi nyingi tu zinatolewa sasa naomba mrejesho ni...
  17. DOKEZO Mara: Adaiwa kujinyonga kwa kamba za viatu katika Ofisi za Kijiji baada ya kukamatwa akidaiwa kutompeleka mtoto shule

    Kuna taarifa mbaya toka Kijiji cha Sota, Kata ya Tai ,Wilaya ya Rorya Mkoani Mara ambapo Afisa Mtendaji wa kijiji hicho na mgambo wake wanatuhumiwa kumpiga hadi kufa ndugu Justine Chagwa Oliech na baadae kutundika mwili wake ndani ya Ofisi ya Mtendaji ili ionekane kajinyonga mwenyewe kwa kamba...
  18. Nani anapaswa kuwa na muhuri wa Serikali ya Kijiji kati ya Afisa Mtendaji na Mwenyekiti wa Kijiji?

    Naomba kufahamishwa kwa uchache tu. Je, ni nani anapaswa kuwa na muhuri wa Halmshauri ya kijiji kati ya Afisa Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kijiji? Muhuri huu ni tofauti na Mihuri ya Afisa Mtendaji au ule wa Mwenyekiti. Kuna Mihuri special huwa inaitwa Mihuri ya Halmshauri ya Kijiji...
  19. Afisa Mtendaji afungwa miaka 2 na kutakiwa kurejesha Tsh. Mil 35.7 baada kifungo

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Momba, imetoa adhabu hiyo kwa Lukas Alcado Chole ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Chilulumo pamoja na kurejesha Tsh. Milioni 35,7 akimaliza kifungo. Afisa Mtendaji amekutwa na hatia ya Matumizi Mabaya ya Madaraka na Ubadhirifu, makosa ambayo ni kinyume...
  20. Kigoma: Afisa Mtendaji ashtakiwa kwa ubadhirifu wa fedha za Umma

    TAKUKURU Mkoa wa Kigoma imefungua shauri la Uhujumu Uchumi Na. ECC. 22/2022 katika Mahakama ya Wilaya ya Kibondo, Agosti 29, 2022 dhidi ya aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kata ya Nyaruboya, Boniface Balishimura Kibada. Bw. Kibada anatuhumiwa kwa makosa ya Ufujaji na Ubadhirifu wa Fedha za Umma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…