Huko Florida nchini Marekani afisa mmoja wa polisi amezua gumzo baada ya kusambaa kwa video yake inayomuonesha akimsimamisha afisa mwingine wa polisi kwa kuendesha gari kwa spidi kali.
Mazungumzo kati yao yalikuwa hivi:
"Nini?" aliuliza afisa huyo baada ya kushuka kutoka kwenye gari la polisi...