Haya mliosoma UDSM wale ambao mnafundishwa na Maprofesa wa Jalapani njooni mbishie huyu mwamba hapa 👇
Bwana huyo kutoka Njombe alikuwa akichangia mjadala wa dira ya Uchumi wa Taifa ya 2050
Pia soma Ofisa biashara atuhumiwa kwa kuikashifu Serikali, Mwenge
My Take: Vyuo Vikuu Bora Africa...