Mimi ni kijana wa Kitanzania, nina umri wa miaka 25, elimu yangu ni stashahada ya utabibu, ninatafuta nafasi ya kazi, ninao utayari wa kufanya kazi mkoa wowote, iwe ni katika vituo vya kutolea huduma za afya (hospitali, vituo vya afya au zahanati), mashirika ya umma au binafsi au katika taasisi...