african football league

The African Football League, otherwise known as the AFL, will be an annual continental club football competition run by the CAF that is set to kick off in October 2023. It was announced on 28 November 2019 by Gianni Infantino, president of FIFA. It was initially launched as the Africa Super League on 10 August 2022 in Tanzania with a kickoff date of August 2023 and was to include twenty-four elite African clubs with a promotion/relegation system, but is scaled down to eight teams for its inaugural campaign before returning to 24 teams in 2024–25. It will run alongside CAF's other main club competition, the CAF Champions League, and will not be a replacement for it.
The essence of holding this tournament is the huge financial returns, projected to exceed $100 million, to be used to develop and improve stadiums, infrastructure and the promotion of African football.

View More On Wikipedia.org
  1. wasakatonge forever

    Mashindano ya African Football League (AFL) hatihati kutokuwepo msimu huu

    Kama mnayakumbuka yale mashindano ya AFL ,yaliofanyika msimu uliopita apa na yalizinduliwa hapa hapa Tanzania kwa mechi kati ya Simba sc dhidi ya Al ahly sc na mchezo kutamatika kwa sare ya goli 2 kwa 2 .Na bingwa wa mashindano hayo hadi mwisho walikua ni Mamelodi Sundows ya Afrika kusini. Sasa...
  2. B

    Mashindano ya African Football League (AFL )hakuna mwaka huu?

    Mbona mashindano yaliyojizolea umaarufu Africa yajulikanayo kama African Football League (AFL )hayatangazwi mpaka sasa? Inamaana baada yakumuonesha mwaka jana msimu huu wamefuta ?
  3. Suley2019

    SI KWELI Simba Sports Club na Yanga SC zitacheza African Football League, Azam FC watacheza CAF Champions League pamoja na Coastal Union

    Salaam Wakuu, Ikiwa Ligi Kuu ya NBC imeisha leo 28/05/2024 huku Yanga akiwa Bingwa Azam nafasi ya pili na Simba nafasi ya tatu. Kuna tetesi kuwa Simba Sports Club na Yanga SC zitacheza African Football League, Azam FC watacheza CAF Champions League pamoja na Coastal Union. Taarifa hiyo inadai...
  4. Kifurukutu

    Matukio yaliyotikisa Tanzania 2023, African Football league inaongoza japo mengine yapo

    Wakuu Nimekaa nautafakari mwaka 2023 hapa Tanzania na matukio yake, 1. Tukio la ufunguzi wa African Football league Hili ndilo tukio lilitikisa nchi, Simba wababe wa soka la Africa waliwakaribisha wababe wenzao kufungua michuano hii na dunia yote ilikuwepo Tanzania 2. DP world na issue zake...
  5. SAYVILLE

    Kwanini Simba ilisitisha kuvaa nembo ya "Visit Rwanda" kwenye African Football League?

    Watanzania tuna hulka ya kupuuzia mambo ya msingi na kuna katabia kalijengwa na kameota mizizi ambapo ukihoji ukagusa maslahi ya watu fulani wanajaribu kukunyamazisha unaambiwa "acha ujuaji". Matokeo yake watu wanaogopa kuuliza maswali ya msingi na makosa yanajirudia kama siyo matatizo kuwa...
  6. OC-CID

    FT: Mamelodi Sundowns 2-0 Wydad (Agg: 3-2)AC | African Football League Final | 2nd Leg | Loftus Versfeld Stadium | 12.11.2023. Mamelodi bingwa

    Leo kunapigwa mchezo wa Fainali ya African Football League mkondo wa pili. Ni Mamelodi Sundowns Vs Wydad Athletic Club saa 10:00 jioni katika dimba la Loftus Versfeld jijini Pretoria. Katika mkondo wa kwanza Wydad alishinda 2-1. Leo kazi ni moja tu kwa Mamelodi kuibuka na ushindi na kutwaa...
  7. Arnold Kalikawe

    Goli la Ugenini alihesabiki AFL, Mechi kuanza upya Cairo

    Kuelekea michezo wa marudiano wa hatua ya robo fainali ya kombe la Afrika (AFL) kesho kati ya Simba SC dhidi ya wenyeji Al Ahly, katika dimba la Cairo imebainika kuwa sheria ya goli la ugenini sio ishu tena. Wawili hao walipelekeana moto kwa sare ya 2-2 katika dimba la Benjamin Mkapa huku wengi...
  8. B

    FT: Enyimba 0-1 Wydad AC In African Football League

    22 October 2023 Enyimba Vs Wydad AC in Aftican Football League ENYIMBA 0 - 1 WAC Dakika 3' mchezo unaendelea magharib ya leo Dakika 7' Kona kuelekea Enyimba Dakika 10' hizi za mwanzo Wydad inaonesha uchu wa ushindi Dakika ya 11' Mbouma namba 15 mgongoni wa Enyimba anapata nafasi lakini apiga...
  9. SAYVILLE

    Tukiendekeza siasa na udini katika mashindano ya African Football League, hayatadumu

    Haya mashindano aina ya African Football League ni rahisi kuona kwa nini huwa yanakwama sehemu nyingine na uwezekano wa kukwama hapa Africa tayari unaonekana. Kutokana na mzozo wa kisiasa unaoendelea huko Mashariki ya Kati, mechi ya ufunguzi iligubikwa na viashiria vya kusapoti Palestina...
  10. Mhaya

    Azam mmejitahidi sana kwenye Mechi ya Ufunguzi AFL

    Kuna siku nilikuwa nabishana tu na mfanyakazi wa Azam, nilimwambia kwamba kamera za HD wanazotumia Multi Choice ni tofauti na wanazotumia Azam, na wanazotumia Multi Choice ni tofauti na zile wanazotumia Sky Sport. Tulibishana kidogo na alisema kamera za HD zote ni sawa. Nilichouliza kwa nini...
  11. Teko Modise

    Majirani zetu Afrika Mashariki wafurahishwa na namna sherehe za ufunguzi wa African Football League zilivyofana, washauri tupewe ufunguzi Afcon 2027

    Majirani zetu Wakenya na Waganda kupitia mitandao ya kijamii wapongeza namna Tanzania ilivyoandaa sherehe za ufunguzi wa African Football League na kushauri Tanzania ipewe sherehe za ufunguzi na mechi ya fainali katika mashindano ya Afcon 2027 ambayo kwa pamoja itaandaliwa Tanzania, Kenya na Uganda.
  12. Suley2019

    FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  13. Mhaya

    Saudi Arabia wadhamini wakuu African Football League

    Saudi Arabia imeingia kwenye ushirikiano wa kihistoria wa miaka mitano na soka la Afrika ukihusisha Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na Shirikisho la Soka la Saudi Arabia (SAFF). Nukuu CAF | Mkataba uliosainiwa utazingatia mipango na maendeleo ya kiufundi na soka katika klabu na taifa, soka la...
  14. Mhaya

    Arsene Wenger kuja kuwatizama SIMBA kwa Mkapa

    Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger ni moja ya wageni watakaokuja Tanzania katika ufunguzi wa Mashindano ya African Football League Oktoba 20. Wenger ambaye ni moja ya watu wa ufundi wa FIFA atakuwa sehemu ya watu watakaolitazama pambano la mechi ya Simba SC na Al Ahly ya Misri katika...
Back
Top Bottom