Historia Fupi ya Vitukuu vya Nabii Nuhu
Kwa mujibu wa Maandiko Matakatifu ya Biblia Mwanzo 10:1-32 Biblia imeonyesha uzao wa watoto wa Nuhu ambao ni Shemu, Hamu na Jafeti uzao ni kama ifuatavyo Wana wa Japheti ni Gomeri, Magogu, Madai, Javani, Tubali, Mesheki, na Tirasi. Wana wa Hamu ni Kushi...