Hapa nchini Tanzania, ukikitaja "Africana", akili ya haraka ya mkazi wa Dar es Salaam itaenda moja kwa moja kwenye eneo na kituo maarufu cha basi kilichopo Mbezi Beach, kando ya barabara ya New Bagamoyo.
Asili ya jina: Eneo hili lilipata jina hilo kutokana na hoteli ya zamani ya ufukweni iliyoitwa Africana Luxury Beach Resort.
Kwa sasa: Ni moja ya maeneo ya kijamii yenye harakati nyingi, makazi ya watu wenye kipato cha kati na juu, maduka, na kumbi za burudani.
Wakuu, natafuta nyumba ya kupanga self-contained kiwe chumba kimoja na sebule. Maeneo ya Mbezi Africana kurudi mpaka Mwenge na Kawe. Isiwe mbali na barabara kuu. Meter ya maji na Luku ya umeme kujitegemea. Itapendeza ikiwa ndani ya geti na yenye sehemu ya kuegesha magari ndani.
Budget...
Wadau hamjamboni nyote?
Hizo ni tetesi kutokea pande za mbezi Beach - africana
Yasemekana new tiger hotel/bar iliyopo hapo africana tayari imeuzwa
Mnunuzi yadaiwa ni mama mmoja tajiri wa kihaya anayemiliki shule na amelipa cash billion 1 kupata eneo hilo
Yasemekana pia mmiliki aliyeuza ni...