Afrika imegeuzwa kuwa ghala la mataifa ya nje. Madini yanachimbwa, misitu inakatwa, wanyama wanauzwa kama burudani kwa watalii, mito na maziwa yanavuliwa mpaka hakuna cha kuvua tena, lakini mwananchi wa Afrika bado anakwambia "Tuna utajiri wa kutosha!" Utajiri gani? Ni lini utajiri wa nchi ukawa...
Uamuzi wa Rais wa Marekani Donald Trump kuanzia mwaka 2025 kuzilazimisha nchi za Afrika kujitegemea kupitia kuzinyima misaada mbalimbali umeshaabiana na Uamuzi wa Rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli kuanzia mwaka 2015-2020 kuilazimisha Tanzania kuacha kutegemea misaada ya mabeberu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.