Afrika imegeuzwa kuwa ghala la mataifa ya nje. Madini yanachimbwa, misitu inakatwa, wanyama wanauzwa kama burudani kwa watalii, mito na maziwa yanavuliwa mpaka hakuna cha kuvua tena, lakini mwananchi wa Afrika bado anakwambia "Tuna utajiri wa kutosha!" Utajiri gani? Ni lini utajiri wa nchi ukawa...