Rais wa Marekani, Donald Trump, amesaini amri ya kiutendaji ya kukata msaada wa kifedha kwa Afrika Kusini, ambao ulikuwa karibu dola milioni 440 mwaka 2023.
White House ilieleza kuwa hatua hii imesababishwa na kutoridhishwa kwa Marekani na sera ya ardhi ya Afrika Kusini pamoja na kesi...