MWEKEZAJI kwenye Shamba la VASSO lililopo kijiji cha Dakau wilaya ya Moshi vijijini, Fons Nijenhuis(73) raia wa Uholanzi, amedai kufukuzwa kwenye shamba hilo na watu wasiojulikana huku kundi kubwa la watu likivamia makazi yake na kufanya uharibifu mkubwa wa mali pamoja na kufanya uporaji wa mali...
Umoja wa Mataifa(UN) yamfukuza Nderitu(Faizafoxy wa Kenya) kwa kukataa kuainisha tabia ya Israel huko Gaza kama 'mauaji ya halaiki,' WSJ inahoji.
Upinzani wa Nderitu kutaja vitendo vya Israel huko Gaza wakati wa Vita vya Israel-Hamas kuwa mauaji ya halaiki, ulisababisha Umoja wa Mataifa kukataa...
KAMA movie vile! Benki ya Equity nchini Kenya imeripoti kuibiwa kwa zaidi ya Shilingi za Kenya Bilioni 1.5 sawa na Shilingi za kitanzania Bilioni 30.Tukio hilo la aina yake liliripotiwa Julai 10,Mwaka huu.
Katika tukio hilo, miamala 47 ilitumika kuhamisha pesa kwenda kwenye akaunti za mishahara...
Hii imetokea jana Jumamosi baada ya mtoto wa Nyerere kukuta askari polisi wa kituo cha Butiama wameizingira nyumba yake na kuweka ulinzi mkali na kumzuia kuingia ndani.
Mtoto wa Nyerere ametoroka Butiama bila begi,ameondoka na nguo tu alizovaa. Sasa yupo Mwanza anasubiri kurudi Dar.
Hii...
Pte Abraham Engwedu (kushoto) and Pte Stephen Jarili (kulia).
Askari mwenye umri wa miaka 44 amehukumiwa miaka 35 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuikimbia Jeshi la Ulinzi la Watu wa Uganda (UPDF). Mmoja wa wenzake ameukuzwa kutoka kwenye Jeshi baada ya kupatikana na hatia ya kutokuwepo...
Klabu ya Rayon Sport ya Rwanda Imevhnja mkataba na Mshambuliaji wake Hatari Raia wa DR Congo Heritier Luvumbu Baada ya hapo Jana kufunga bao na kushangilia Kwa Staili ya kuziba mdomo na kuweka kidole kichwani kama Bastola Hivi
Hapo Jana katika mchezo wa ligi kuu ya Rwanda Kati ya Rayon Sport...
Jana kulikuwa na mechi Kati ya Genoa na Ac Milan, katika mechi hiyo kipa wa Ac Milan alitolewa kwa Kadi nyekundu wakati idadi ya wachezaji kufanyiwa sub ilishatimia. Ilibidi mshambuliaji wao Oliver Girloud akakae golini Kama kipa, na bahati nzuri akaokoa hatari ambayo ingeweza kuwa goli.
Leo Ac...
Kocha wa CR Belouizdad ambaye pia aliwahi kuifundisha Simba, Sven Vandenbroeck amefutwa kazi kwenye timu hiyo ambayo imepangwa kundi moja na yanga kwenye ligi ya mabingwa Afrika.
Kocha huyo amefukuzwa kutokana na kutokuwa na matokeo yanayoelewa ingawa wachunguzi wa Mambo wanasema sababu...
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe lililojigeuza kamati ya Uamuzi, limemfukuza kazi aliyekuwa Ofisa wa Afya wa Wilaya, Winston Nongwa, kutokana na kughushi cheti cha kidato cha nne kinyume cha sheria na kanuni za nchi.
Sambamba na azimio hilo, baraza hilo limetoa onyo kali...
Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini Kenya amefutwa kazi baada ya kukatika kwa umeme na kuwaacha abiria wakiwa gizani kwa saa kadhaa katika Uwanja Mkuu wa Ndege wa Nairobi.
Alex Gitari alifutwa kazi na Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen, ambaye ameomba radhi kwa changamoto hiyo...
Palikuwa na habari humu kumhusu mchungaji wa kanisa la wasabato na ofisa wa Takukuru kahama:
https://www.jamiiforums.com/threads/mchungaji-wa-kanisa-la-wasabato-kahama-na-familia-yake-wasoteshwa-rumande-kwa-kesi-ya-dawa-za-kulevya.2071776/
Habari mpya ni kwamba lengo la mtakukuru hatimaye...
Uamuzi huo umefanywa na Upande wa chama hicho unaoongozwa na #KaniniKega baada ya Kikao kilichofanyika leo Mei 2, 2023 na kimemteua Mbunge, Sabina Chege kushika nafasi ya Mwenyekiti mpya.
Kwa mujibu wa Kega ni kuwa uongozi wa Rais Mstaafu #UhuruKenyatta ulikoma Machi 2023 na hivyo Katiba...
Klabu ya Chelsea imetangaza kufikia maamuzi ya kumfukuza kocha Graham Potter. Nafasi ya kocha huyo itachukuliwa na Bruno Salter. Klabu hiyo ya jijini London imemshukuru kocha huyo kwa mchango alioutoa ikiwa ni pamoja na kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali katika michuano ya klabu bingwa ya...
Frank Lampard, aliyekuwa kocha wa Everton ametimuliwa baada ya kupata matokeo mabovu kwa kipindi kirefu katika ligi kuu ya Uingereza. Klabu ya Everton inategemea kutoa taarifa rasmi hivi punde.
Raia huyo wa Iran bwana Hamidreza Mohammad Abraheh alidanganya uhamiaji kwamba ameoa Tanzania, kisha akaanza mipango yake ya hovyo kama kawaida yao...ila wamemshtukia na kumfurusha.
Sielewi kwanini hawa watu wasiishi kwa amani dunia hii, wamuabudu 'mungu' wao kwa njia za amani bila kuwa kero...
Salama wadau
Unaambiwa binadamu hukutana lakini milima haikutani na malipo ya ubaya ni hapahapa duniani.
Sasa jamaa baada ya kununua Twitter kwanza kawatimua management yote na baadaye staff wapewa alerts Fagio LA chuma litapitishwa kuondoa baadhi ya wafanyakazi.
Sipati picha bwana Trump...
Makarani wawili wa sensa wilayani Iringa wameachishwa kazi kwa uzembe.
Mmoja amefukuzwa kwa ulevi uliopindukia na mwingine kwa kupoteza tablet aliyopewa kuhesabia watu
Hii ni hatari sana. Ina maana kutoa maoni ni kosa? Ibara ya 18 ya katiba JMT inasema vipi?
TAMKO LA TRC
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano TRC, Jamila Mbarouk alipoulizwa kuhusu suala hilo amesema: “Kwa sasa sijapata taarifa rasmi ya suala hilo, nalifanyia kazi kisha nitatoa taarifa...
Taarifa ikufikie kuwa hili ndilo tamko lililotolewa na Chancellor Fr. Vincent Mpwaji wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, japokuwa kisa hakijatajwa lakini hizi ndiyo taarifa za uhakika kutoka katika kanisa hilo, jisomee mwenyewe uone
Inasomeka hivi...
Waheshimiwa Mapadre Wote,
Jimbo Kuu la Dar es...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imemtaka msemaji wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa, Mathias Gillmann kuondoka Nchini humo haraka iwezekanavyo baada ya Wizara ya Mambo ya Nje kumshutumu kwa kutoa "taarifa zisizoeleweka na zisizofaa" kuhusiana na Nchi hiyo
Takriban watu 30...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.