Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mbunge wa Tarime Mwita Waitara leo ameshushwa jukwaani na kufurushwa na Wananchi alipokuwa kwenye Mkutano wa hadhara kjijiji cha Kanisani, Kata ya Sirari.
Bado haijajulikana sababu hasa za Wananchi hao kumfurumusha mbunge wao huyo (Tunaendelea kufuatilia)...