Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa Sekta ya Afya imefanya maendeleo makubwa katika kujenga uwezo wa kukabiliana na dharura za afya ikiwa ni pamoja na kuwekeza katika mifumo ya afya, kuimarisha ushirikiano na wadau, kuanzisha mifumo ya tahadhari mapema pamoja na ufuatiliaji wa...
“Mara ya mwisho mimi kunywa Juisi au Soda ni Mwaka 2000. Iko hivi, kuna tofauti kubwa ya kula chungwa na kunywa juisi ya Chungwa. Nikinywa Juisi nakunywa Sukari moja kwa moja hata kama haijawekewa sukari. Mfano, ili nipate glasi moja ya Juisi ya Chungwa nahitaji Machungwa matano. Asubuhi...
Nimefatila kwa kina nimebaini kuwa wale wanaoliwa viboga na wale wasagaji wengi wao wanaishi maisha mazuri tu na maisha mazuri ila
Wale wenye Imani Kali ya dini huishia kuhangaika tu kula vumbi.
Ina maana Mungu amewaumba wachamungu waje kupata matatizo hapa duniani??
Mashoga
Majambazi...
“Wale watu wanaokula mara nyingi, wanaokula mara kwa mara wanakuwa hawana muda wa kuunguza mafuta. Wanaofunga muda mrefu wanakuwa na muda mrefu pia wa kuunguza mafuta ya Mwili. Kuna magonjwa mengi yanayosababishwa na ulaji wetu wa mara kwa mara. Ukitaka kinga ya mwili iwe juu na kurefusha...
Habari Ndugu wa Jf,
Chukua yatakayokufaa kuhusu Mpango wa mwaka mpya 2025 na afya Bora
Utangulizi
Msimu wa sikukuu ni wakati wa sherehe, lakini pia unaweza kusababisha kula kupita kiasi na kupata uzito Kupita kiasi. Tunapojiandaa kuukaribisha mwaka mpya 2025, azimio la kuweka afya na ustawi...
Tezi dume si ugonjwa bali ni kiungo miongoni mwa viungo katika mfumo wa uzazi wa mwanaume,ipo chini ya kibufo cha mkojo
Ni wakati gani tezi hii huwa ni tatizo? Ni pale ambapo tezi dume inakuwa au inaongezeka kutokana na umri kitaalamu inaitwa benign prostatic hyperplasia,kadri mwanaume...
Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake anadaiwa kufariki dunia ndani ya gari aina ya Range Rover Sport HSE, Magomeni Mapipa, Mtaa wa Idrisa, jijini Dar es Salaam karibu na Bar ya Chipolopolo leo Jumanne, Septemba 24, 2024.
Mwananchi ambayo ipo eneo la tukio inasubiri polisi wafike eneo hilo...
Mimi Kuna Kitu Kinanichanganya Sana Kwenye Hii Serikali Yetu
Wanasema Mimba Na Mtoto Ni mali ya Serikali Lakini Kwanzia Ujauzito Na Mtoto Unahudumia Wewe Sasa Kwanini Kama Mtoto Ni mali ya Serikali Usiwekwe Mfumo Wa Kuwalipa Wazazi Posho Za Malezi Ya Mtoto/ Watoto Wao? Hapo Nachoka Kabisa.
Au...
Wakuu natumai huku kunamadokta naumwa na kichwa pembeni kwenye misuli ya macho hasa ninapotumia computer, simu na n.k
Yani kichwa kinauma sana ila kuona naona fresh tu niliwahi pima nikaonekana nipo poa kwenye kuona ila mwanga unaniumiza sana
Sina miwani na kazi zangu siwezi kwepa computer...
Teknolojia imefika mbali sana, bro! Unakumbuka zile enzi ambazo simu za mkononi zilikuwa kubwa kiasi kwamba ilikuwa lazima ubebe kwenye begi? Sasa tumefikia wakati ambapo tunaweza kuvaa teknolojia. Ndio, unavaa kabisa kama vile umevaa nguo au saa, lakini teknolojia inafanya kazi zenyewe bila...
Kama daktari anayeangazia afya ya akili, mimi ni Daktari Rafiki, na katika video hii, natoa elimu kwa jamii juu ya jinsi ya kushinda mawazo ya kujiua na kulinda afya yako ya kiakili.
Nitakupa mbinu na vidokezo muhimu vya kusaidia wewe au wapendwa wako kuepuka kujiua na kutafuta msaada.
Kama...
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero, Said Nguya amewasisitiza wazazi kuwa hakuna akili za kurithi kwa mtoto, sababu uwezo wa akili hutokana na lishe bora tangu mama anapopata ujauzito.
Nguya ameyasema hayo Jumapili Septemba Mosi, 2024 alipokuwa akizungumza na wazazi, walimu na wanafunzi kwenye...
Hii imetoka kwa mdau mmoja huko jukwaa la afya...
Sawa wakuu hakuna kitakachobaki wote tutakufa.. ila zingatia haya kama kijana mwenzangu ambaye ni hustler
Ile kauli ya kusema magonjwa fulani ya wazee achana nayo.. ila kuna mambo unafanya wewe mwenyewe ambayo ina take long time ku show sign...
Wadau nina shida na dawa moja lakini nimetafuta kwa hapa Tanzania haipo nataka kuagiza India naomba mwenye connection ya huko anisaidie au kama kuna mtu huwa anaagiza vitu huko anisaidie niwasiliane nae.
Naomba kuwasilisha wakuu.
Habari zenu wataalamu wa afya na wajuaji wa mambo humu
JamiiForums
Iko hivi nina mzee wangu kwa sasa ana miaka 53 sio mzee sana ila ni Bonge ana mwili kama wa hayati mzee wa Lupaso.
Mwaka 2009 alipata ajali mbaya ya gari alipona lakini maji ya rejeta yote yaliishia kwenye miguu yake aliiva...
Asubuhi kabla ya kuanza shughuli zake anakunjwa energy drink
Mchana na jioni lazima anywe hizi pombe kali smart gin/ double kick. Ni mfumo wa maisha yake kwa kitambo sasa, tumpe conclusion gani kijana huyu.
Janabi amekuwa akisisitiza sana ulaji mwema. Na "LISHE BORA" Huyu mtaalamu wa Vyakula na Lishe.
Hivi ndivyo anatamani watanzania wote tuwe, tuwe na mwonekano huu wa Siha njema na Afya pia. Nawaza katika umri wake huu wa miaka 65 plus nadhani watanzania tuna mengi ya kuiga. Sijajua mkewe ana...
Chama cha Figo nchini kimejiandaa kupeleka mapendekezo Serikalini kuanzisha uchukuaji wa Figo kwa marehemu, ili kuongeza idadi ya wapandikiziwaji kwani wengi wanashindwa kumudu kutokana na uchache wa watoaji figo hizo.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili...
Habari wana JamiiForums.
Nimekuja mbele yenu kuzungumza na wale wenye tatizo la tumbo kuunguruma, Mimi ni moja wenu na tatizo hili limenisumbua kwa muda sasa lakini hivi karibuni nimepata nafuu kwa kiasi kikubwa.
Mwanzo kabisa sikumbuki tatizo la tumbo kuunguruma lilinianzaje, sijui chanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.