Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero, Said Nguya amewasisitiza wazazi kuwa hakuna akili za kurithi kwa mtoto, sababu uwezo wa akili hutokana na lishe bora tangu mama anapopata ujauzito.
Nguya ameyasema hayo Jumapili Septemba Mosi, 2024 alipokuwa akizungumza na wazazi, walimu na wanafunzi kwenye...