Kamati ya kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Elibarick Kingu imeitaka Serikali kupitia Wizara ya Afya kuimarisha huduma za afya ya akili na kuhakikisha vituo vyote vya kutolea huduma za afya nchini vinawezeshwa kutoa huduma za msingi za afya ya akili...
I dream to see the revolutionized mental healthcare in Tanzania and transformed Mental Healthcare System -with it's structured leadership, governance & accountability,adequate resources, facilities & insurance schemes in all levels. Favourable legislation & regulations.
Leo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyomithilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hicho kilichohusisha mawe na magongo kilianza baada ya mlemavu huyo kushambulia magari yanayopita barabarani ikiwemo daladala la...
Tafiti za Kiafya kuhusu Afya ya Akili zinaonesha Binadamu yeyote katika wakati fulani hukabiliana na mambo kadhaa yanaweza kuathiri Ubora wa Afya ya Akili kwa muda mfupi au kubaki na athari hizo kwa muda mrefu
Inaelezwa kuwa Matatizo ya Afya ya Akili huanza kuwa Sugu katika Umri wa miaka 14 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.