Wakuu natumai huku kunamadokta naumwa na kichwa pembeni kwenye misuli ya macho hasa ninapotumia computer, simu na n.k
Yani kichwa kinauma sana ila kuona naona fresh tu niliwahi pima nikaonekana nipo poa kwenye kuona ila mwanga unaniumiza sana
Sina miwani na kazi zangu siwezi kwepa computer...