Natokwa na maziwa kwa miaka sasa, tena maziwa mengi. Bahati mbaya nikajishika nyonyo yanaruka.
Hata (babe) akinyonya nyonyo ananyonya maziwa maana yanatoka tu!
Ni kawaida au ni ugonjwa niende hospitali?
Siku zinavyozidi kwenda naona yanazidi kutoka mengi!