afya ya mbwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna ubaya au uzuri gani wa kulisha mbwa nyama mbichi?

    Binafsi napenda mbwa sana. Na nimejifunza tangu zamani lazima chakula cha mbwa kipikiwe Sasa kuna clip naona mbwa wanalishwa chakula au nyama mbichi fresh tu. Je hii haina madhara kwene makuzi ya mbwa hasa wizi wa mifugo na udokozi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…