Kumekuwepo na madai yanayosambaa mtandaoni kuwa makasha ya dawa za meno huwa na rangi (code) za aina mbalimbali zinazofafanua aina ya kemikali zilizotumika kutengenezea dawa hiyo.
Aidha, madai hayo yanafafanua zaidi kuwa kemikali husika ni hatari kwa afya na husababisha saratani, na kwamba...
Mimi nikiri tu meno yangu yalioza kipindi nikiwa na miaka 12 na no kwasababu nilitafuna sana pipi kidonge japo mpaka sasa natafunia pande zote na sijatoa jino hats moja japo niliendaga hospital doktar akanishauri tutoe magego mawili hivi maana yalionekana hayafai ila sasa imepita miaka 7 na bado...
Chukuaa nyanya 3 zilizoiiva kabisa. Menya maganda. Ponda ponda zote.
Chukua limao changanya kamulia mawili humo ndani. Chukua dawa ya mswaki vijiko vitatu mimina huko ndani mix kwa pamoja.
Tumia asubuhi na jion siku 5 angalia matokeo.
Niko pale kwa Masawe.
Nasubiri mrejesho.
Huu ni ushauri katika Hospitali zetu waongezwe wataalamu ambao wataweza kufanya huduma bora za kuvisha meno yenye tundu kofia za silva ili kuepuka usumbufu katika utafunaji.
Kumekuwa na changamoto hii ambapo muda mwengine kung'oa kunasababisha kupoteza muonekano mzuri wa kinywa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.