Mimi nikiri tu meno yangu yalioza kipindi nikiwa na miaka 12 na no kwasababu nilitafuna sana pipi kidonge japo mpaka sasa natafunia pande zote na sijatoa jino hats moja japo niliendaga hospital doktar akanishauri tutoe magego mawili hivi maana yalionekana hayafai ila sasa imepita miaka 7 na bado...