Wazazi wenzangu naombeni msaada hapo niweze kuvuka kama Kuna sayansi yoyote nisaidieni nitumie
Mtoto anaharisha, nimeenda hospital wamempa oral lakini naona hali yake kiafya inaporomoka, kula amepoteza hamu ya kula hali, muda mwingine unakuwa unashindwa ununue nini Ili ale
Nitumie mbinu gani...
Habari wana JF,
Mwanangu ana tabia ya kujishika usoni na kulia sana wakati wa asubuhi, sasa leo hali naona imezidi mpaka mchana huu analia tu.
Naomba ushauri kabla sijampeleka hospitali.
Wakuu nimekutana na taarifa hii inatahadharisha wazazi kunywa maji baridi. Taarifa inaonya kwamba jambo hili ni hatari kwa afya.
Upi ukweli wa jambo hili?
TANZANIA TUITAKAYO
“ Je mtoto akizaliwa ni Mali ya nani ? “
Chanzo : successwisdom
UTANGULIZI
Jamii na ulimwengu hujengwa na watu wenye afya bora na huzungukwa na watu halisi katika jamii yao, Nchi na ulimwengu utafanya mapinduzi makubwa sana pale...
UTANGULIZI
afya bora ya mtoto inaanzia pale mama anapojigundua kuwa ni mjamzito, kipindi cha miezi tisa (9) ya uleaji wa mtoto ,kipindi cha kujifungua na kipindi cha miezi 6 ya mwanzo ya ulezi , hapi ndipo afya bora ya mtoto inaanzia na kuimarika ili kujenga taifa lenye watu bora wenye akili...
Mimi ni mmoja wa watoto waliotungwa mimba wakati mzazi bado ananyonyesha, bahati mbaya aliyenitangulia alifariki dunia kabla sijazaliwa. Hivyo wakati nakua niliambiwa na majirani kuwa kutungwa kwangu mimba kulisababisha afya ya dadangu kudhoofu na kupelekea kifo.
Hili suala ni kweli au vihoja...
Wakuu kwema?
Shuleni ni sehemu ambako watoto (walioanza kwenda shule) wanatumia muda mwingi kuliko nyumbani. Mbali na masomo, chakula ni kitu muhimu pia ambacho kina nafasi kubwa katika ukuaji wa mtoto.
Sasa je, unajua sehemu anapopata chakula mtoto wako ina hali gani?
Kuna shule ukiona...
Habari guys,
Hizi tozo sjui znafanya nini. Bima ya toto afya imeondolewa; hivi mama Samia anatonaje? Inapaswa tupate chama kingine kituongoze. CC mimi basi tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.