Habari za muda huu wakuu, hili imeanza muda lakn sasa hivi imeshika kasi, yani ipo hivi naweza kuwa nimelala au nimekaa au nafanya mishe yeyote lakini ghafla nikapata mshtuko hadi watu wa karibu wanauliza nashtuka nini.
Mimi mwenyewe nashangaa kwanini nimeshtuka na hakuna hali yoyote ya hatari...
Mwenzenu mimi ni mtu mzima kidogo maana kwenye 40 napeleza mitatu, kwenye mechi sina shida tangu nianze kuyajua mambo miaka ya 2001 nipo la tano huko.
Hizi tatu bila kwa mechi za ugenini ni masaa kadhaa wala si kukesha, mechi za ndani mbili bila kwa usiku mmoja tunaenda.
Kusudio la maada...
Kwa mujibu wa utafiti wa Harvard, kufanya mazoezi mara kwa mara kunaweza kuongeza muda wa kuishi! 🌟
Mazoezi yanafaida nyingi kwa afya yetu, ikiwa ni pamoja na:
Kuboresha afya ya moyo ❤️
Kupunguza hatari ya magonjwa sugu kama kisukari na shinikizo la damu 🚫
Kuboresha mfumo wa kinga 🛡️...
Kwanini ninakuwa na hamu ya mapenzi mara kwa mara? Yaani hata nikimaliza kusex baada ya masaa matatu nataka tena hata kama nimepiga vitatu ninataka tena.
Wataalam shida nini hapa na nifanyeje hii hali ikome?
Wakuu kwema?
JF imefanya mjadala leo kuhusu kupata mbadala wa adhabu ya viboko shuleni, huku lengo kubwa ikiwa adhabu hiyo kuondolewa kabisa shuleni.
Nimesikia watu wanasema bila fimbo wangekuwa wamepotea huku wengine wakigoma kuwa adhabu ya viboko inapaswa kukomeshwa, mimi binafsi naunga...
Wakuu kwema?
Shuleni ni sehemu ambako watoto (walioanza kwenda shule) wanatumia muda mwingi kuliko nyumbani. Mbali na masomo, chakula ni kitu muhimu pia ambacho kina nafasi kubwa katika ukuaji wa mtoto.
Sasa je, unajua sehemu anapopata chakula mtoto wako ina hali gani?
Kuna shule ukiona...
Habari za Usubuhi!
Kwa wale tuliozoea tukiamka au tukiwa tunajiandaa kubeba kitu kizito au tunaojiandaa na mazoezi au tuliozoea kubinya tu joint/knuckles za mikono yetu na Tunafurahi au tunapenda ile sauti inayolia 'Ta' 'Ta' na wengi huamini Kwamba Sauti ile inatokana na msuguano wa mifupa...
Wakuu kwema?
Kuna mambo mengi tufanaya kwa ajili ya wengine huku mara nyingi tukijisahau sisi wenyewe.
Inaweza kuwa unafanya kwa kupenda na wakati mwingine ni kwa kujilazimisha kwakuwa hatutaki kuwakwaza wapendwa wetu, au kuwafurahisha watu wengine, na mara nyingine ni katika kutekeleza tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.