afya ya uso

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yuris Dutch

    Msaada: Mwanangu ana tabia ya kujishika usoni na kulia sana wakati wa asubuhi, leo hali naona imezidi mpaka mchana huu analia tu!

    Habari wana JF, Mwanangu ana tabia ya kujishika usoni na kulia sana wakati wa asubuhi, sasa leo hali naona imezidi mpaka mchana huu analia tu. Naomba ushauri kabla sijampeleka hospitali.
Back
Top Bottom