Habari wakuu mim ni baba wa watoto wawili, huyu mototo wangu waukiume Umri miaka 8 sasa, wakat akiwa na Umri wa miaka4 mkilala ukiamka ukienda kuamasha akokojoe usiku ama akiamka asubuhi uume ulikuwa unamuona umesimama.
Sasa imepita miaka hasimamishi asubuhi hata ukienda kumuamsha akojoe au...