afya zaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naombeni msaada tafadhari

    Za mida wakuu nina ishu inanitatizaa hapa et ikitokea umejichoma n kitu chenye kutu ukiacha tetenasi kuna uwezekano ugonjwa wa UKIMWI pia ukaambukizwa kwa njia io? Swali ni kwamba can rusted metal spread HIV?
  2. SoC01 Afya-Rafiki yetu anaweza kuwa adui yetu mkubwa

    Karibu katika andiko hili la afya lenye kuelezea jinsi rafiki wa afya zetu anaweza kuwa adui mkubwa wa afya zetu. Je, ulishawahi kusikia juu ya usugu wa vimelea dhidi ya dawa ? Kama ulishawahi kusikia ama hujawahi ungana nami tujifunze zaidi. Usugu wa vimelea dhidi ya dawa ni Hali ya dawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…